Taswira mbalimbali za ujenzi wa mabweni na madarasa ya kidato cha tano na cha sita
Mafundi wakichanganya zege kwa ajili ya kumwaga juu ya msingi wa moja ya bweni la wanafunzi wa kidato cha tano. [Read More]
Mafundi wakichanganya zege kwa ajili ya kumwaga juu ya msingi wa moja ya bweni la wanafunzi wa kidato cha tano. [Read More]
Wanafunzi uwa wanakumbana na mambo mengi ambayo yanaweza kuwaaribia masomo yao, kama vile kujiunga na makundi mabaya ya wauni na kujihusi... [Read More]
MEK (Mratibu Elimu Kata) akimkaribisha mgeni rasmi Mr. Shukrani Karega [Read More]
Afisa Elimu wa Wilaya Kigoma, Ally Nyambate akisisitiza jambo kwa wanafunzi. Mapema leo tulikuwa na ujio wake katika shule yetu ya Sekond... [Read More]
Bitale Fema Club kutoka Bitale Secondary School Kigoma, mara baada ya kupokea jarida la Fema #39 wakiwa katika kupalilia bustani ... [Read More]


