/

Matukio picha Kikao cha walimu wote kata ya Bitale tarehe 19/01/2018

MEK (Mratibu Elimu Kata) akimkaribisha mgeni rasmi Mr. Shukrani Karega
Mgeni rasmi Mr. Shukrani Karega akifungua kikao cha walimu wote wa kata ya Bitale tayali kwa watoa mada kuanza kutoa kile walichokuanacho kwa walimu
Mr. Aule akitoa mada juu ya mazingira na umuhimu wake, ambapo mazingira yanatakiwa yawe kivutio kwa wanafunzi na kwa walimu pia.
Mkuu wa shule ya Sekondari Bitale, Mr. Sylvanus Matalo akitoa mada juu ya Uwajibikaji shirikishi (Team work)
MEK (Mratibu Elimu Kata) akizungumzia juu ya majukumu ya Mkuu wa Shule
Mkuu wa Shule Bitale Maalumu akizungumzia  Mahusiano mema kati ya walimu na walimu pia walimu na wanakijiji. 
Walimu wakisikiliza kwa makini
Mwalimu Victoria akichangia mada kuhusu changamoto kwa wanafunzi na walimu 
Mwalimu Juma Zongori nae akichangia juu ya changamoto za walimu.
Mwalimu Ayubu Mwenda akichangia nae juu ya changamoto za walimu na sababu zinazoshusha ufaulu kwa wanafunzi.

Leave a Reply

    Category

    Category

    Category

Designed by Mwinyi Blog Phone Number..+255 754 667 930 & Email mwinyially39@gmail.com