/

Tangazo kwa Watahiniwa wa kujitegemea (Private Condidates) 2017




Shule ya Sekondari Bitale inawatangazia kuwa Usajili wa Watahiniwa wa kujitegemea (Private Condidates) kwa kidato cha nne (CSEE) na Maarifa (QT) umeanza toka tarehe 01/01/2017 hadi tarehe 28/02/2017 kwa kipindi cha kawaida cha Usajili, na tarehe 01/03/2017 hadi 31/03/2017 baada ya kipindi cha kawaida cha Usajili. Wahi sasa upate nafasi ya kufanya Mtihani wako katika kituo chetu kwani nafasi ni chache. Fika kituoni kwetu uweze pata namba rejea (Reference number) pamoja na fomu maalum PFS1 (Collective Entry Form For Private Candidates)
Kwa mawasiliano
Shule ya Sekondari Bitale, S.L.P 82. KIGOMA
Simu : 0625971687
0756438922
0628675456
0754667930
0625977132
Barua pepe : bitalesec@gmail.com
Blog : bitalesec.blogspot.com
KARIBUNI SANA.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Category

    Category

    Category

Designed by Mwinyi Blog Phone Number..+255 754 667 930 & Email mwinyially39@gmail.com