Wanafunzi uwa wanakumbana na mambo mengi ambayo yanaweza kuwaaribia masomo yao, kama vile kujiunga na makundi mabaya ya wauni na kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi. Hivyo walimu uwa wanatenga muda kuwahusia na kuwapa maelekezo mazuri ambayo yatawasaidia katika masomo yao. Katika picha juu walimu wakiwapa ushauri wanafunzi wao katika kuzingatia elimu na kuacha mambo mengine mabaya kwao ambayo yataaribu masomo yao.
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini ushauri na makatazo kutoka kwa walimu wao.