Upatanisho wa Kisarufi Posted on May 7 by Bitale Sec Upatanisho wa kisarufi ni hali ya viambishi vya maneno ndani ya tungo kukubaliana na kushikamana ili kuleta maana iliyokusudiwa. Upatanisho wa kisarufi unaweza kuonekana kati ya vipashio vifuatavyo: