/

Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016 Yatangazwa na Baraza la Mitihani





Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI,

Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87.

Shule 10 zilizofanya vizuri:
1.Kisimiri,-Arusha
2.Feza Boys,-Dar es Salaam
3.Alliance Girls,-Mwanza

4. Feza Girls,-Dar es Salaam
5. Marian Boys,-Pwani
6.Tabora Boys,-Tabora
7.Kibaha,-Pwani
8.Mzumbe-Morogoro
9.Ilboru,-Arusha
10. Tandahimba-Mtwara

Shule 10 zilizofanya vibaya:
1.Mpendae-Unguja
2.Ben Bella-Unguja
3.Tumekuja-Unguja
4.Green Bird Boys-Kilimanjaro
5.Jang'ombe-Unguja
6.Kiembe Samaki-Unguja
7.Tanzania Adventist-Arusha
8.Al- Ishan Girls-Unguja
9.Azania-Dar es Salaam
10.Lumumba-Unguja KWA MATOKEO: BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply

    Category

    Category

    Category

Designed by Mwinyi Blog Phone Number..+255 754 667 930 & Email mwinyially39@gmail.com