Bitale Fema Club na Mbogamboga Posted on by Bitale Sec Bitale Fema Club kutoka Bitale Secondary School Kigoma, mara baada ya kupokea jarida la Fema #39 wakiwa katika kupalilia bustani ya mbogamboga, ambayo ni moja ya shughuli wanazofanya katika klab yao ya Fema.